Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 71:9-15 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 71:9-15 in Biblia ya Kiswahili

9 Usinitupe katika siku za miaka ya uzee wangu; usiniache wakati nguvu zangu zitakapoisha.
10 Maana adui zangu wanazungumza kuhusu mimi; wale wanao fatilia uhai wangu wanapanga njama pamoja.
11 Wao husema, “Mungu amemuacha; mfuateni na mumchukue, maana hakuna yeyote awezaye kumuokoa yeye.”
12 Mungu, usiwe mbali nami; Mungu wangu, harakisha kunisaidia mimi.
13 Waaibishwe na kuharibiwa, wale walio adui wa uhai wangu; wavishwe laumu na kudharauliwa, wale watafutao kuniumiza.
14 Lakini nitakutumainia wewe siku zote na nitakusifu wewe zaidi na zaidi.
15 Kinywa changu kitaongea kuhusu haki yako na wokovu wako mchana kutwa, ingawa ziwezi kuzielewa maana ni nyingi mno.
Zaburi 71 in Biblia ya Kiswahili