Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 69:31-33 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 69:31-33 in Biblia ya Kiswahili

31 Nitamsifu Yahwe zaidi kuliko ng'ombe au ndama aliye na mapembe na kwato.
32 Wanyenyekevu wameona na kufurahi; ninyi mnao matafuta Mungu, mioyo yenu itiwe nguvu.
33 Maana Yahwe husikia wenye uhitaji naye hawadharau wafungwa wake.
Zaburi 69 in Biblia ya Kiswahili