Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 66:1-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 66:1-4 in Biblia ya Kiswahili

1 Mpigieni Mungu kelele za shangwe, nchi yote;
2 Imbeni utukufu wa jina lake; mzitukuze sifa zake.
3 Mwambieni Mugu, “Matendo yako yanatisha kama nini! Kwa ukuu wa nguvu zako maadui zako watajisalimisha kwako.
4 Nchi yote watakuabudu wewe na watakuimbia wewe; wataliimbia jina lako.” Selah
Zaburi 66 in Biblia ya Kiswahili