Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 52:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 52:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 Wewe unapenda uovu kuliko wema na udanganifu kuliko kuongea haki. Selah
4 Wewe hupenda maneno ambayo huwaumiza wengine, wewe ulimi mdanganyifu.
5 Vivyo hivyo Mungu atakuadhibu wewe milele; yeye atakuchukua na kukuondoa katika hema yako na kukung'oa katika ardhi ya uhai. Selah
Zaburi 52 in Biblia ya Kiswahili