Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 48:4-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 48:4-5 in Biblia ya Kiswahili

4 Maana, tazama, wafalme walikusanyika wenyewe; wote pamoja walipita.
5 Nao waliuona, wakashangaa; walifadhaika, na wakaharakisha kuondoka.
Zaburi 48 in Biblia ya Kiswahili