Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 48:3-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 48:3-11 in Biblia ya Kiswahili

3 Mungu amejifunua mwenyewe katika jumba lake la kifahari kama kimbilio la usalama.
4 Maana, tazama, wafalme walikusanyika wenyewe; wote pamoja walipita.
5 Nao waliuona, wakashangaa; walifadhaika, na wakaharakisha kuondoka.
6 Pale pale tetemeko liliwashikilia, maumivu makali kama mwanamke anaye zaa.
7 Kwa upepo wa mashariki wewe huivunja meli ya Tarshishi.
8 Kama tulivyo sikia, vivyo hivyo tumeona katika mji wa Yahwe wa majeshi, katika mji wa Mungu wetu; Mungu atautunza milele. Selah
9 Tumeutafakari uaminifu wa agano lako, Mungu, katikati ya hekalu lako.
10 Kama lilivyo jina lako, Mungu, hivyo ndivyo zilivyo sifa zako mpaka miisho ya dunia; mkono wako wa kuume umejaa haki.
11 Milma Sayuni na ufurahi, nao wana wa Yuda washangilie kwa sababu ya amri ya haki yako.
Zaburi 48 in Biblia ya Kiswahili