Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 47:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 47:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 Yeye anawatiisha chini yetu na mataifa chini ya miguu yetu.
4 Yeye huchagua urithi kwa ajili yetu, utukufu wa Yakobo ambaye alimpenda. Serah
5 Mungu ameinuliwa juu kwa shangwe, Kwa mbiu ya shangwe Yahwe yu juu.
Zaburi 47 in Biblia ya Kiswahili