Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 47:2-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 47:2-4 in Biblia ya Kiswahili

2 Kwa maana Yahwe Aliye Juu anatisha; ni Mfalme mkuu dunia yote.
3 Yeye anawatiisha chini yetu na mataifa chini ya miguu yetu.
4 Yeye huchagua urithi kwa ajili yetu, utukufu wa Yakobo ambaye alimpenda. Serah
Zaburi 47 in Biblia ya Kiswahili