Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 44:23-26 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 44:23-26 in Biblia ya Kiswahili

23 Bwana, amka, kwa nini unalala? Inuka, usitutupe moja kwa moja.
24 Kwa nini unaficha uso wako na kusahau mateso yetu na kukandamizwa kwetu?
25 Kwa maana tumeyeyushwa kwenye mavumbi; miili yetu imeshikamana na ardhi.
26 Inuka utusaidie na utuokoe kwa ajili ya uaminifu wa agano lako.
Zaburi 44 in Biblia ya Kiswahili