Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 41:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 41:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 Awapo kwenye kitanda cha mateso Yahwe atamsaidia; nawe utakifanya kitanda cha ugonjwa kuwa kitanda cha uponyaji.
4 Nami nilisema, “Yahwe unihurumie! Uniponye, kwa maana nimekutenda dhambi wewe.”
5 Adui zangu huongea maovu dhidi yangu, wakisema, 'Atakufa lini na jina lake lipotee?'
Zaburi 41 in Biblia ya Kiswahili