Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 41

Zaburi 41:3-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
3Awapo kwenye kitanda cha mateso Yahwe atamsaidia; nawe utakifanya kitanda cha ugonjwa kuwa kitanda cha uponyaji.
4Nami nilisema, “Yahwe unihurumie! Uniponye, kwa maana nimekutenda dhambi wewe.”
5Adui zangu huongea maovu dhidi yangu, wakisema, 'Atakufa lini na jina lake lipotee?'

Read Zaburi 41Zaburi 41
Compare Zaburi 41:3-5Zaburi 41:3-5