Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 38:15-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 38:15-17 in Biblia ya Kiswahili

15 Hakika ninakungoja wewe, Yahwe; wewe utanijibu, Bwana Mungu wangu.
16 Ninasema hivi ili kwamba maadui zangu wasije wakafurahia juu yangu. Ikiwa mguu wangu utateleza, watanifanyia mambo mabaya.
17 Kwa kuwa niko karibu mashakani, na niko katika maumivu ya mara kwa mara.
Zaburi 38 in Biblia ya Kiswahili