Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 37:29-31 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 37:29-31 in Biblia ya Kiswahili

29 Wenye haki watairithi nchi na kuaa huko milele.
30 Mdomo wa mwenye haki huongea hekima na huongeza haki.
31 Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake; miguu yake haitelezi.
Zaburi 37 in Biblia ya Kiswahili