Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 36:3-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 36:3-4 in Biblia ya Kiswahili

3 Maneno yake ni yenye dhambi na udanganyifu; hataki kuwa mwenye hekima na kutenda mema.
4 Alalapo kitandani, hupanga namna ya kutenda dhambi; yeye hukaa nje kwenye nja ya uovu; yeye hakatai uovu.
Zaburi 36 in Biblia ya Kiswahili