Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 33:2-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 33:2-4 in Biblia ya Kiswahili

2 Mshukuruni Bwana kwa kinubi; mwimbieni sifa kwa kinubi chenye nyuzi kumi.
3 Mwimbieni yeye wimbo mpaya; pigeni kwa ustadi na muimbe kwa furaha.
4 Kwa kuwa maneno ya Mungu ni ya hakika, na kila afanyacho ni haki.
Zaburi 33 in Biblia ya Kiswahili