Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 30:11-12 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 30:11-12 in Biblia ya Kiswahili

11 Wewe umegeuza kuomboleza kwangu kuwa kucheza; wewe umeyaondoa mavazi yangu ya magunia na kunivisha furaha.
12 Hivyo sasa utukufu wangu utakuimbia sifa wewe na hautanyamaza; Yahwe Mungu wangu, nitakushukuru wewe milele!
Zaburi 30 in Biblia ya Kiswahili