Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 30

Zaburi 30:11-12

Help us?
Click on verse(s) to share them!
11Wewe umegeuza kuomboleza kwangu kuwa kucheza; wewe umeyaondoa mavazi yangu ya magunia na kunivisha furaha.
12Hivyo sasa utukufu wangu utakuimbia sifa wewe na hautanyamaza; Yahwe Mungu wangu, nitakushukuru wewe milele!

Read Zaburi 30Zaburi 30
Compare Zaburi 30:11-12Zaburi 30:11-12