Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 28:1-2 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 28:1-2 in Biblia ya Kiswahili

1 Yahwe, ninalia; mwamba wangu, usinipuuze. Ikiwa haunijibu, nitaungana na wale waendao chini kaburini.
2 Sikia kilio cha kusihi kwangu pale niitapo msaada kutoka kwako, niinuapo mikono yangu mbele ya mahali patakatifu zaidi!
Zaburi 28 in Biblia ya Kiswahili