Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 27:2-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 27:2-3 in Biblia ya Kiswahili

2 Wakati waovu waliponijia kunila mwili wangu, wapinzani wangu na adui zangu walijikwaa na wakaanguka.
3 Ingawa jeshi hujipanga kupigana na mimi, moyo wangu hautaogopa; japo vita vijapo inuka kupigana nami hata hapo nitabaki kuwa jasiri.
Zaburi 27 in Biblia ya Kiswahili