Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 25:10-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 25:10-11 in Biblia ya Kiswahili

10 Njia zote za Yahwe ni za upendo wa kudumu na niaminifu kwa wote wanao tunza agano na maagizo ya amri zake.
11 Kwa ajili ya jina lako, Yahwe, unisamehe dhambi zangu, kwa kuwa ni nyingi mno.
Zaburi 25 in Biblia ya Kiswahili