Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 20:7-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 20:7-9 in Biblia ya Kiswahili

7 Baadhi hamini katika magari na wengine katika farasi, lakini sisi tumuita Yahwe Mungu wetu.
8 Wao watashushwa chini na kuanguka, bali sisi tutainuka na kusimama wima!
9 Yahwe, umuokoe mfalme; utusaidie sisi tukuitapo.
Zaburi 20 in Biblia ya Kiswahili