Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 19:12-13 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 19:12-13 in Biblia ya Kiswahili

12 Ni nani ambaye aweza kuyatambua makosa yake yote mwenyewe? Unitakase makosa yaliyo fichika.
13 Pia umuepushe mtumishi wako na dhambi za majivuno; usiziruhusu kunitawala. Ndipo nitakuwa mkamilifu, na mimi sitakuwa na hatia ya makosa mengi.
Zaburi 19 in Biblia ya Kiswahili