Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 18:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 18:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 Nitamuita Yahwe kwa sababu anastahili kusifiwa, na nitaokolewa kutoka kwa adui zangu.
4 Kamba za mauti zilinizunguka, na mafuriko yakimbiayo yalinielemea.
5 Kamba za kuzimu zilinizunguka; mitego ya mauti ilininasa.
Zaburi 18 in Biblia ya Kiswahili