Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 147:17-19 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 147:17-19 in Biblia ya Kiswahili

17 Hutupa mvua ya mawe kama makombo, ni nani awezaye kuhimili baridi aitumayo?
18 Hutuma amri zake na kuziyeyusha, huvumisha upepo wake na hutiririsha maji.
19 Hutangaza neno lake kwa Yakobo, amri zake na hukumu zake kwa Israeli.
Zaburi 147 in Biblia ya Kiswahili