Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 146:8-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 146:8-9 in Biblia ya Kiswahili

8 Yahwe huyafungua macho ya kipofu; Yahwe huwainua walioinama; Yahwe huwapenda watu wenye haki.
9 Yahwe huwalinda wageni katika nchi; huwainua yatima na wajane, bali huipinga njia ya wasio haki.
Zaburi 146 in Biblia ya Kiswahili