Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 145:12-14 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 145:12-14 in Biblia ya Kiswahili

12 Watayafanya matendo makuu ya Mungu ya julikane na wanadamu na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
13 Ufalme wako ni wa milele, na mamlaka yako ya dumu kizazi hata kizazi.
14 Yahwe huwategemeza wote waangukao na huwainua wote walioinama chini.
Zaburi 145 in Biblia ya Kiswahili