Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 136:4-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 136:4-10 in Biblia ya Kiswahili

4 Mshukuruni yeye ambaye peke yake hufanya maajabu makuu, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
5 Yeye aliyezifanya mbingu kwa hekima zake, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
6 Mshukuruni yeye alitetandaza nchi juu ya maji, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
7 Yeye aliyefanya mianga mikubwa, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
8 Mshukuruni yeye alipaye jua kutawala mchana, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
9 Mwezi na nyota vitawale usiku, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
10 Mshukuruni yeye aliyewaua wazaliwa wa kwanza wa Misri, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
Zaburi 136 in Biblia ya Kiswahili