Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 135:1-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 135:1-3 in Biblia ya Kiswahili

1 Msifuni Yahwe. Lisifuni jina la Yahwe. Msifuni yeye, enyi watumishi wa Yahwe,
2 ninyi msimamao katika nyumba ya Yahwe, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu.
3 Msifuni Yahwe, kwa kuwa ni mwema; liimbieni sifa jina lake, maana ni vizuri kufanya hivyo.
Zaburi 135 in Biblia ya Kiswahili