Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 123:3-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 123:3-4 in Biblia ya Kiswahili

3 Ee Yahwe, utuhurumie, kwa maana tunadhalilishwa sana.
4 Tumeshibishwa mzaha wa wenye kiburi na dharau ya wenye majivuno.
Zaburi 123 in Biblia ya Kiswahili