Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yoshua 24:14 in Swahili (individual language)

Help us?

Yoshua 24:14 in Biblia ya Kiswahili

14 Basi sasa mcheni Yahweh na kumwabudu yeye kwa uadilifu na uaminifu wote; jitengeni na miungu ambayo baba zenu waliiabudu ng'ambo ya Frati na katika Misri, na mkamwabudu Yahweh.
Yoshua 24 in Biblia ya Kiswahili