Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yoshua 21:13-14 in Swahili (individual language)

Help us?

Yoshua 21:13-14 in Biblia ya Kiswahili

13 Na kwa wana wa Haruni kuhani, waliwapa Hebroni pamoja na eneo lake la kulishia mifugo ambao ulikuwa ni mji wa makimbilio kwa mtu aliyeua mtu bila kukusudia na Libna pamoja na maeneo ya kulishia mifugo.
14 Na Yatiri pamoaja na maeno yake ya kuchungia, na Eshitemoa pamoja na maeneo yake ya malisho.
Yoshua 21 in Biblia ya Kiswahili