Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yoshua 15:33-36 in Swahili (individual language)

Help us?

Yoshua 15:33-36 in Biblia ya Kiswahili

33 Katika nchi iliyo chini ya mlima upande wa magharibi, kulikuwa na miji ya Eshtaoli, Zora, Ashina,
34 Zanaoa, Eni Ganimu, Tapua, Enamu,
35 Yarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka,
36 Shaaraimu, Adithaimu, na Gedera (ambayo ndio Gederothaimu). Hesabu ya miji hii ilikuwa ni kumi na nne, pamoja na vijiji vyao.
Yoshua 15 in Biblia ya Kiswahili