Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yohana 8:43 in Swahili (individual language)

Help us?

Yohana 8:43 in Biblia Takatifu

43 Kwa nini hamwelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu.
Yohana 8 in Biblia Takatifu

Yohana 8:43 in Biblia ya Kiswahili

43 Kwa nini hamyaelewi maneno yangu? Kwa sababu hamuwezi kuvumilia kuyasikia maneno yangu.
Yohana 8 in Biblia ya Kiswahili