Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yohana 6:47-48 in Swahili (individual language)

Help us?

Yohana 6:47-48 in Biblia Takatifu

47 Kweli, nawaambieni, anayeamini anao uzima wa milele.
48 Mimi ni mkate wa uzima.
Yohana 6 in Biblia Takatifu

Yohana 6:47-48 in Biblia ya Kiswahili

47 Amini, amini yeye aaminiye anao uzima wa milele.
48 Mimi ni mkate wa uzima.
Yohana 6 in Biblia ya Kiswahili