Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yohana 6:44 in Swahili (individual language)

Help us?

Yohana 6:44 in Biblia Takatifu

44 Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, Baba aliyenituma asipomvuta kwangu; nami nitamfufua mtu huyo Siku ya mwisho.
Yohana 6 in Biblia Takatifu

Yohana 6:44 in Biblia ya Kiswahili

44 Hakuna mtu ajaye kwangu asipovutwa na Baba yangu aliyenituma, nami nitamfufua siku ya mwisho.
Yohana 6 in Biblia ya Kiswahili