Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yohana 6:30-31 in Swahili (individual language)

Help us?

Yohana 6:30-31 in Biblia Takatifu

30 Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?
31 Wazee wetu walikula mana kule jangwani, kama yasemavyo Maandiko: Aliwalisha mkate kutoka mbinguni.”
Yohana 6 in Biblia Takatifu

Yohana 6:30-31 in Biblia ya Kiswahili

30 Basi wakamwambia, “Ni ishara zipi utakazofanya, kwamba tunaweza kuziona na kukuamini? Utafanya nini?
31 Baba zetu walikula manna jangwani, kama ilivyo andikwa, “Aliwapa mikate kutoka mbinguni ili wale.”
Yohana 6 in Biblia ya Kiswahili