Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yohana 6:29 in Swahili (individual language)

Help us?

Yohana 6:29 in Biblia Takatifu

29 Yesu akawajibu, “Hii ndiyo kazi anayotaka Mungu muifanye: kumwamini yule aliyemtuma.”
Yohana 6 in Biblia Takatifu

Yohana 6:29 in Biblia ya Kiswahili

29 Yesu akajibu, “Hii ndiyo kazi ya Mungu: kwamba mmwamini yeye aliyemtuma.”
Yohana 6 in Biblia ya Kiswahili