Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yohana 4:52 in Swahili (individual language)

Help us?

Yohana 4:52 in Biblia Takatifu

52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, “Jana saa saba mchana, homa ilimwacha.”
Yohana 4 in Biblia Takatifu

Yohana 4:52 in Biblia ya Kiswahili

52 Hivyo akawauliza ni muda gani alipata nafuu. Wakajibu, “Jana muda wa saa saba homa ilipomwacha.”
Yohana 4 in Biblia ya Kiswahili