Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Yohana 20:24 in Swahili (individual language)

Help us?

Yohana 20:24 in Biblia Takatifu

24 Thoma mmoja wa wale kumi na wawili (aitwaye Pacha), hakuwa pamoja nao wakati Yesu alipokuja.
Yohana 20 in Biblia Takatifu

Yohana 20:24 in Biblia ya Kiswahili

24 Thomaso, mmoja wa wale kumi na wawili, aliyeitwa Didimas, hakuwa na wanafunzi wenzake Yesu alipokuja.
Yohana 20 in Biblia ya Kiswahili