Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 4:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 4:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 Mdomo wako ni kama uzi mwekendu; mdo wako wapendeza. Mashavu yako ni kama majani ya komamanga nyuma ya kitambaa chako cha uso.
4 Shingo yako ni kama mnara wa Daudi ukiwa umejengwa kwa mistari ya mawe, na ngao elfu moja ikining'nia juu yake, ngao zote za wanajeshi.
5 Maziwa yako mawili ni kama swala wawili, mapacha wa ayala, wakila miongoni mwa nyinyoro.
Wimbo wa Sulemani 4 in Biblia ya Kiswahili