Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 1:13-16 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 1:13-16 in Biblia ya Kiswahili

13 Mpenzi wangu ni kwangu kama mkebe wa marashi unao lala usiku katika ya maziwa yangu.
14 Mpenzi wangu ni kwangu kama kifurushi cha maua ya hena katika mashamba ya mizabibu ya Eni Gedi. Mpenzi wake anazungumza naye
15 Ona, wewe ni mzuri, mpenzi wangu; ona, wewe ni mzuri; macho yako ni kama ya hua. Mwanamke anazungumza na mpenzi wake.
16 Ona, wewe ni mtanashati, mpenzi wangu, jinsi mtanashati.
Wimbo wa Sulemani 1 in Biblia ya Kiswahili