Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Warumi 8:24 in Swahili (individual language)

Help us?

Warumi 8:24 in Biblia Takatifu

24 Maana kwa matumaini hayo sisi tumekombolewa; lakini tumaini halina maana ikiwa tunakiona kile tunachotumainia. Maana ni nani anayetumaini kile ambacho tayari anakiona?
Warumi 8 in Biblia Takatifu

Warumi 8:24 in Biblia ya Kiswahili

24 Kwa maana ni kwa taraja hili tuliokolewa. Lakini kitu kilichotarajiwa kikionekana hakuna taraja tena, kwa maana ni nani anayekitarajia kile akionacho?
Warumi 8 in Biblia ya Kiswahili