Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Warumi 2:11-12 in Swahili (individual language)

Help us?

Warumi 2:11-12 in Biblia Takatifu

11 Maana Mungu hambagui mtu yeyote.
12 Wale wanaotenda dhambi bila kuijua Sheria ya Mose wataangamia ingawaje hawajui Sheria. Na wale wanaotenda dhambi wakiwa wanaijua Sheria watahukumiwa kisheria.
Warumi 2 in Biblia Takatifu

Warumi 2:11-12 in Biblia ya Kiswahili

11 Kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.
12 Kwa maana kama vile wengi waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na kama vile wengi waliokosa kulingana na sheria watahukumiwa kwa sheria.
Warumi 2 in Biblia ya Kiswahili