Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Warumi 1:6-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Warumi 1:6-7 in Biblia Takatifu

6 Ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
7 Basi, ninawaandikia ninyi nyote mlioko Roma ambao Mungu anawapenda, akawateua muwe watu wake. Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
Warumi 1 in Biblia Takatifu

Warumi 1:6-7 in Biblia ya Kiswahili

6 Kati ya mataifa haya, ninyi pia mmeitwa kuwa wa Yesu Kristo.
7 Barua hii ni kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watu watakatifu. Neema na iwe kwenu, na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
Warumi 1 in Biblia ya Kiswahili