Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Waamuzi 3:21-22 in Swahili (individual language)

Help us?

Waamuzi 3:21-22 in Biblia ya Kiswahili

21 Ehudi akanyoosha mkono wake wa kushoto na akachukua upanga kutoka mguu wake wa kulia, na akautia ndani ya mwili wa mfalme.
22 Na kipini cha upanga kikaingia ndani yake baada ya upanga, nao ukatokea nyuma yake, na mafuta yakashikamana juu ya upanga, kwa kuwa Ehudi hakuutoa upanga nje ya mwili wake.
Waamuzi 3 in Biblia ya Kiswahili