Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Waamuzi 1:10-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Waamuzi 1:10-11 in Biblia ya Kiswahili

10 Yuda akaenda dhidi ya Wakanaani waliokaa Hebroni (jina la Hebroni hapo awali ilikuwa Kiriath-arba), nao wakamshinda Sheshai, Ahimani na Talmai.
11 Kutoka huko watu wa Yuda walipigana na wenyeji wa Debiri (jina la Debiri hapo awali ilikuwa Kiriath-seferi).
Waamuzi 1 in Biblia ya Kiswahili