Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 9:5-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 9:5-10 in Biblia ya Kiswahili

5 Njoo, ule chakula, na unywe divai nimeshaichanganya.
6 Acheni njia zenu za kijinga, na mkaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu.
7 Yeyote amrekebishaye mwenye dhihaka hukaribisha matusi na yeyote anayemshutumu mtu mbaya atapata madhara.
8 Usimshutumu mwenye dhihaka, ama atakuchukia; mshutumu mtu mwenye busara, naye atakupenda.
9 Mpe mafundisho mtu mwenye busara, naye atakuwa na busara zaidi; mfundishe mtu mwenye haki, naye ataongeza elimu.
10 Hofu ya Mungu ni chanzo cha hekima na maarifa ya Mtakatifu ni ufahamu.
Mithali 9 in Biblia ya Kiswahili