Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 4:18-19 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 4:18-19 in Biblia ya Kiswahili

18 Bali njia ya mwenye kutenda haki ni kama mwanga ung'aao, huangaza zaidi na zaidi hadi mchana inapowasili kwa ukamilifu.
19 Njia ya waovu ni kama giza - hawajui ni kitu gani huwa wanajikwaa juu yake.
Mithali 4 in Biblia ya Kiswahili