Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 3:29-30 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 3:29-30 in Biblia ya Kiswahili

29 Usiweke mpango wa kumdhuru jirani yako- anayeishi jirani nawe na yeye anakuamini.
30 Usishindane na mtu pasipo sababu, ikiwa hajafanya chochote kukudhuru.
Mithali 3 in Biblia ya Kiswahili