Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 3:17-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 3:17-18 in Biblia ya Kiswahili

17 Njia zake ni njia za ukarimu na mapito yake ni amani.
18 Yeye ni mti wa uzima kwa wale wanaomshikilia, wale wanaomshikilia wanafuraha.
Mithali 3 in Biblia ya Kiswahili